Huduma Zetu
Pellentesque tincidunt tristique neque, eget venenatis enim gravida quis. Fusce at egestas libero. Cras convallis egestas ullamcorper suspens.
MUZIKI AINA ZOTE
Tunatunga na kuimba nyimbo nzuri aina zote kwa kutumia Akili Mnemba (AI). Nyimbo hizo ni kama vile nyimbo za sherehe, harusi, kampeni, Injili, jubilee, michezo, matamasha, mtu binafis, kikundi ama taasisi nk. Tunaimba aina zote za muziki kama vile Bongofleva, Rnb, Afrobeat, reggae, amapiano, taarab, hip hop, injili nk. kwa kutumia lugha mbalimbali ikiwemo Kiswahili, Kiingereza, Kihindi, Kifaransa nk.
NYIMBO ZA WATOTO
Tunawaletea nyimbo za watoto za kujifunza, zikitengenezwa kwa kutumia teknolojia ya Akili Mnemba (AI). Tunaunda nyimbo zenye burudani na mafunzo, zikilenga kusaidia watoto kujifunza kwa urahisi kupitia muziki wa kuvutia na wa kisasa. Kuanzia herufi, namba, hadithi za maadili hadi nyimbo za ubunifu, tunahakikisha kila wimbo unakuza uelewa na hamasa ya kujifunza kwa watoto.
FILAMU
Tunabadilisha tasnia ya burudani kwa kutumia teknolojia ya Akili Mnemba (AI). Tunatengeneza filamu za AI zenye hadithi za kusisimua, ubunifu wa hali ya juu, na uhalisia wa kipekee. Kila filamu tunayounda inalenga kuburudisha, kuelimisha, na kuleta maudhui ya kisasa kwa hadhira ya Afrika na dunia nzima.
01.
Bei Zetu
Kutunga na kuimba wimbo wa sauti -AUDIO
TSH 50,000
KUTUNGA, KUIMBA NA KUTENGENEZA VIDEO YA WIMBO
TSH 100,000
02.
30% DISCOUNT
Kama utataka nyimbo zaidi ya moja yaani kuanzia nyimbo mbili na kuendelea, utapata punguzo la asilimia 30 kwa kila wimbo.

03.